|
|
|
|
Comment t�l�charger cette vid�o?
Licha ya halmashauri ya kutoza ushuru nchini kra kutangaza kukusanya mabilioni ya fedha kama ushuru, wakenya wengi wamelalamika kuhusu ufisadi kumea mizizi na kukolea katika halmashauri hiyo. Na ukidhani kwamba mambo yapo katika halmashauri ya ushuru tu, basi umekosea, kwani labda ngoma yenyewe haswa ipo katika bandari ya Mombasa. Licha ya kuwepo kwa wafanyibiashara wanaoagiza bidhaa kutoka nje na kulipia ushuru kama inavyohitajika, uchunguzi wa jicho pevu la ktn uliochukua jumla ya miezi minne umebaini kwamba mambo ya mizengwe bandarini nayo yapo kwa wingi. Ili kubaini ukweli wa mambo mwanahabari wako mpekuzi Mohammed Ali akishirikiana na mwenzake John Allan Namu waliamua kufungua kampuni na kuagiza bidhaa kutoka ngambo kubaini ikiwa kweli ni rahisi kukwepa kulipia ushuru. Waswahili watakwambia utamu wa ngoma ni uingie ndani ucheze, hapa ktn tunasema kwa uhondo kamili kuhusu jinsi ngoma ilivyochezwa tulia tuli mambo yalipangika na kupanguliwa katika bandari ya Mombasa pamoja na halmashauri ya kutoza ushuru nchini kra. Makala ni Zengwezengwe Bandarini Sehemu Ya Kwanza.
|
|
| Publi�: Thu, 26 Nov 2009 04:37:13 +0000 |
|
|
Comment t�l�charger cette vid�o?
www.ntv.co.ke Muhula wa tatu wa masomo umeanza huku wanafunzi na wazazi wakiwa na wasiwasi huenda watoto wao wakarejeshwa nyumbani kwa vile serikali haijatoa pesa za kufadhili elimu. Serikali ina deni la takriban shilingi bilioni kumi za kugharamia mpango wake wa elimu ya bure kwa shule. Kamati ya bunge inayohusika na masuala ya elimu imewapa mawaziri wa elimu na fedha ilani ya kulipa hela hizo kufikia Ijumaa..
|
|
| Publi�: Mon, 07 Sep 2009 16:49:24 +0000 |
|
|
Comment t�l�charger cette vid�o?
Baada ya kushuhudia sarakasi za sakata ya ufujaji wa fedha katika wizara ya elimu kwa muda sasa, hii leo tumeamua kuuliza swali nyeti. Je, rais Mwai Kibaki ameamua kumtelekeza, ama kumtupilia mbali mwanawe mpendwa kwa jina, mpango wa elimu ya msingi ya bure? ikiwa kuna jambo ambalo rais Mwai Kibaki angekumbukwa kutekeleza wakati wa utawala wake lililokuwa na mafanikio makubwa lingekuwa mpango wa elimu ya msingi ya bure, lakini mambo yanavyoelekea, mpango huu huenda ukapotelea pote na kusalia tu katika vitabu vya historia. Katika taarifa ifuatayo, Frank Otieno anashangaa jinsi mambo yalivyobadilika kiasi cha mpango ulio na manufaa maakubwa kwa wakenya ukidorora huku viongozi wakuu serikalini rais mwai kibaki na waziri mkuu Raila Odinga wakionekana kukosa kujihusisha na purukushani za kuuokoa. Je, viongozi hawa wanasubiri mpango huu ufe kabisa ndipo wajitokeza kuzungumza wakati mambo yamekwishaharibika?
|
|
| Publi�: Thu, 04 Feb 2010 19:15:22 +0000 |
|
|
Comment t�l�charger cette vid�o?
Waziri wa mifugo Mohammed Kuti amesema wanatafuta shillingi millioni 300 za kununua maziwa ya ziada kutoka kwa wizara ya fedha. Alisema hayo baada ya kufanya mkutano wa faragaha na waziri wa fedha Uhuru Kenyatta. Wakati huo huo waziri wa mashirika Joseph Nyaga amejitetea dhidi ya kulaumiwa kwa kusambaratika kwa operesheni za shirika la maziwa la Kcc. Aidha amedai siasa katika bodi simamizi imesababisha vurugu hiyo.
|
|
| Publi�: Fri, 12 Feb 2010 19:22:03 +0000 |
|
|
Comment t�l�charger cette vid�o?
LIVE IN VOXHALL, DENMARK, WITH RECULTURE. AUG. 2008 LINKS: ARTIST - www.myspace.com/mzungukichaa LABEL - www.myspace.com/caravanrec Wajanja Ghetto Youth Wajanja is one of those Swahili words with multiple meanings. This song is in praise of the intelligence of youth in Bongo (slang for Dar es Salaam / Tanzania). Through music ghetto youth find hope in their struggle. Tutakuja kutajirika / Na ngoma za kiafrika / Turuke na tucheze / Wacha kununa na kusita Wasela wote tuko pamoja / Ugali mkavu na mchicha / Nina ruka geto kama mchizi / Kuliko kuota mizizi Na na na na na na na na na na / Vijana wabongo ni wajanja Mzungu Kichaa anaruka kamba / Anatafuta mwili kama Tyson / Vijana wakibongo wanaruka kamba / Wakati wanavuta ganja Mzungu Kichaa ana ruka kamba / Anatafuta mwili kama Tyson / Usipo tunza mwili, utakuja adhirika / Utakula kuku kwa mrija Sisi vijana wakibongo ni wajanja / Tunaruka kamba tukivuta ganja / Ndio maisha ya kigeto nani atajuta / Tuna tafuta amani hatutaki vita Tutatafuta njia itatusaidia / Tutafika tutakofika / Tutaruka tutacheza / Kwa furaha si kwa fedha
|
|
| Publi�: Wed, 06 May 2009 18:25:24 +0000 |
|
|
Comment t�l�charger cette vid�o?
Kenya leo imetia saini mkataba na Japan wa kutoa mkopo wa shilingi million 31.5 zitakazotumiwa katika shughuli ya ujenzi wa barabara jijini Nairobi.Kwa mujibu wa naibu waziri mkuu na waziri wa fedha Uhuru Kenyatta, fedha hizo zitatumiwa katika kufanya utafiti na kuboresha mipango ya ujenzi wa barabara kabla ya ujenzi wenyewe kuanza. Wakati huo huo serikali ya japan imesema kuwa sasa itaanza kujihusisha na shughuli ya ujenzi wa miundo msingi ya uchukuzi hapa nchini. Hapo awali Japan ilikuwa tu ikihusika katika mpangilio wa miradi, huku ikiiachia serikali ya kenya jukumu la utekelezaji wa miradi hiyo.
|
|
| Publi�: Tue, 23 Feb 2010 17:32:08 +0000 |
|
|
Comment t�l�charger cette vid�o?
i vigumu kushikilia kuwajibika kwa kutuma molekuli mailings yao. Kwa sababu ya kikwazo kwa kiingilio ni hivyo chini, spammers ni nyingi, na kiasi cha unsolicited mail imekuwa juu sana. Gharama, kama alipoteza tija na udanganyifu, ni machafu na internet ya umma na kwa watoa huduma, ambayo wamelazimika kuongeza uwezo wa ziada kukabiliana na deluge. Spamming ni wakamtukana sana, na imekuwa na somo la sheria nyingi za Binadamu jurisdiktioner magendo ni mazoezi ya wasuluhishi kusaidia wahamiaji haramu kuvuka mipaka ya kimataifa kwa ajili ya kupata fedha, mara nyingi katika makundi makubwa. Magendo binadamu hutofautiana kutoka, lakini ni mara nyingine zinazohusiana na, biashara ya binadamu. A binadamu smuggler kommer kuwezesha haramu kuingia nchini kwa ajili ya ada, lakini siku ya kuwasili katika marudio yao, mtu wa kawaida ni smuggled bure. Biashara unahusisha mchakato wa kutumia nguvu za kimwili, udanganyifu, au udanganyifu kupata usafiri na watu, kwa kawaida kwa madhumuni ya kulazimishw
|
|
| Publi�: Sun, 29 Nov 2009 15:27:06 +0100 |
|
|